
HUWA YANATOKEA
Kwa jiji la Dar es Salaam, kuanzia majira ya saa kumi alasiri hadi kufikia kumi na mbili magharibi, usafiri hugeuka bidhaa adimu; daladala hazipatikani kwa wepesi, na zikipatikana ni nadra kama si muhali kabisa kupata nafasi ya kuketi; na ikitokea muujiza ukapata nafasi, joto kali pamoja na hewa hafifu, hukufanya utamani kushuka na kutembea kwa miguu. Hiyo...