BODI YA MIKOPO:MSAKO WA WADAIWA SUGU KUANZA KARIBUNI
Bodi ya Mikopo itatangaza majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 ambao madeni yao yameiva.
Majina ya Wadaiwa sugu yatawekwa hadharani tarehe 13 Novemba, 2016. Wasugu hao watapewa siku 30 kulipa madeni yao.&nb…Read More
0 comments:
Post a Comment