
Mazoezi ni jambo muhimu sana kwa maisha ya wanaadamu wote katika k
ulinda
afya za miili yao, watu wengi wamekuwa wakihangaika kufanya mazoezi kwa
kuondokana na matatizo tofauti tofauti, wengine huenda wameshauriwa na
Daktari kutokana na aina ya ugonjwa unaowasumbua na wengine hutaka
kupunguza miili yao ili iwe katika muonekano mzuri na wengine wanataka
kuilinda miili...