NAMNA WAZAZI WA NAVYOONGEA NA MABINTI
ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI!
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26: Wenzio wanaolewa.
Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha
kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!
Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kule
anaombea unaweza kupata mchumba
Miaka 36: At least pata mtoto mmoja.
Miaka 39: We will take care of all the wedding
bills...yeyote ni sawa.
Miaka 45: hivi kweli nani alikuroga.?
Friday, 25 November 2016
Home »
» NAMNA WAZAZI WA NAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI!
0 comments:
Post a Comment