Habari zenu,
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu utaratibu wa kuhama chuo kwa wanafunzi waliochaguliwa vyuo vikuu mwaka wa masomo 2016/2017.
JINSI YA KUHAMA CHUO
Endapo unahitaji kuhama chuo
ulichochaguliwa kwenda chuo kingine kutokana na sababu zako mbalimbali
ikiwemo kuchaguliwa kozi ambayo hujachagua,au kukosa chuo kutokana na
competition ktk chuo ulichoomba first round au 2nd round!
Unatakiwa kwenda kwenye chuo husika moja
kwa moja unachotaka kuhamia na kuuliza kama kuna nafasi,wakikukubalia
,utapata kwani chuo kitachukua jina lako na kulipeleka moja kwa moja TCU
kabla ya tarehe 18 november 2016.Then majina yanatakiwa yapelekwe bodi ya mikopo kabla ya november 30 2016.
0 comments:
Post a Comment