Kuna ajali mbaya
sana imetokea hapa eneo la Suca Mbele kidogo ya stop over ikihusisha
lori na Basi T 990 ADF liitwalo Safari njema linalofanya safari zake
kati ya Dar na Dodoma linaungua. SASA hivi yanaungua na watu waliokuwemo
ndani.
Sunday, 30 October 2016
Home »
» Basi likitokea Dodoma lagongana na Lori; magari yateketea kwa moto
0 comments:
Post a Comment