Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika
klabu ya GENK ya nchini Ubelgiji ametajwa miongoni mwa wachezaji 30
wanaowani Tuzo ya Mchezaji Bora ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).
Wachezaji wengine ni pamoja na Mkenya Victor Wanyama anayecheza ligi kuu
ya Uingereza katika klabu ya Tottenham Hotspur, Denis Onyango kutoka
Uganda anayekipiga katika klabu ya Mamelodi Sundowns.
Hapa chini ni orodha kamili.
1. Riyad Mahrez (Algeria & Leicester City)
2. El Arabi Hillel Soudani (Algeria & Dinamo Zagreb)
3. Islam Slimani (Algeria & Leicester City)
4. Samuel Eto’o (Cameroon & Antalyaspor)
5. Benjamin Mounkandjo (Cameroon & Lorient)
6. Serge Aurier (Cote d’Ivoire & PSG)
7. Eric Bailly (Cote d’Ivoire & Manchester City)
8. Yao Kouasi Gervais ‘Gervinho’ (Cote d’Ivoire & Hebei Fortune)
9. Mohamed Salah (Egypt & Roma)
10. Mohamed El Neny (Egypt & Arsenal)
11. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Dortmund)
12. Andre Ayew (Ghana & West Ham)
13. Victor Wanyama (Kenya & Tottenham)
14. William Jebor (Liberia & Wydad Athletic Club)
15. Mehdi Benatia (Morocco & Juventus)
16. Hakim Ziyech (Morocco & Ajax)
17. John Mikel Obi (Nigeria & Chelsea)
18. Kelechi Iheanacho (Nigeria & Manchester City)
19. Ahmed Musa (Nigeria & Leicester City)
20. Cedric Bakambu (DR Congo & Villareal)
21. Yannick Bolasie (DR Congo & Everton)
22. Sadio Mane (Senegal & Liverpool)
23. Kalidou Koulibaly (Senegal & Napoli)
24. Keegan Dolly (South Africa & Mamelodi Sundowns)
25. Itumeleng Khune (South Africa & Kaizer Chiefs)
26. Mbwana Samatta (Tanzania & Genk)
27. Aymen Abdennour Tunisia & Valencia)
28. Wahbi Khazri (Tunisia & Sunderland)
29. Dennis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns)
30. Khama Billiat (Zimbabwe & Mamelodi Sundowns
Saturday, 15 October 2016
Home »
» Mwana Samatta kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).
Mwana Samatta kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).
Related Posts:
Tcu: Orodha ya Vyuo na Majina ya wanafunzi waliokosa sifa za kupewa nafasi za vyuo Tanzania 2016/2017 Bonyeza Uhakiki wa Sifa za Udahili … Read More
NEW GAMES Release dates every game confirmed for 2017 Release dates: every game confirmed for 2017 … Read More
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016 BOFYA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016… Read More
MAZOEZI 5 MEPESI AMBAYO YANAWEZA KUBADILI MUONEKANO WAKO Mazoezi ni jambo muhimu sana kwa maisha ya wanaadamu wote katika k ulinda afya za miili yao, watu wengi wamekuwa wakihangaika kufanya mazoezi kwa kuondokana na matatizo tofauti tofauti, wengine huenda wameshauriwa na Dakt… Read More
AUDIO MPYA: NISHIKE MKONO kutoka kwa DAVID NYIGU | Download hapa Anafahamika kwa jina la DAVID NYIGU,ambaye anatamba kwa wimbo wake uitwao NISHIKE MKONO.. Ni wimbo mzuri kwa kweli na unao bariki sana.. Mwimbaji huyu anatokea Njombe ila kwa sasa anaishi Mbeya.... … Read More
0 comments:
Post a Comment